Search This Blog

Tuesday, July 14, 2020

John Mnyika: Sitagombea Ubunge 2020, nitumikie ipasavyo Ukatibu Mkuu CHADEMA


“Nyerere aliwahi kuachia Uwaziri Mkuu akabaki kuimarisha TANU, nami sitagombea Ubunge  2020 nitumikie ipasavyo Ukatibu Mkuu CHADEMA tushinde chaguzi tulete mabadiliko nchini” -John Mnyika, Katibu Mkuu CHADEMA Taifa

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...