Search This Blog
Thursday, June 18, 2020
Tanzania yatoa msimamo wa changamoto ya madereva mpakani
Tanzania imetoa msimamo kuwa endapo nchi jirani zitaendelea kuzuia mipaka yao kwa hofu ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona, basi wasafirishaji wa mizigo watalazimika kuishia mipakani na si vinginevyo.
Msimamo huo umetolewa mkoani Dodoma na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe, baada ya kufanya ukaguzi wa ujenzi wa reli ya kisasa inayojengwa kwa fedha za ndani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment