Search This Blog
Thursday, June 18, 2020
Mjumbe kamati kuu CHADEMA ajivua vyeo na kujiunga CCM
Ndugu Moses Matiko Misiwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Vijijini, Mkoa wa Mara na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema leo amejivua vyeo vyake vyote ndani ya Chama hicho na kuomba kujiunga na CCM.
Aidha Ndugu Moses Matiko Misiwa ameeleza sababu za kuachana na Chama chake,amesema chama hicho kwa sasa kimepoteza muelekeo, Hivyo Uongozi wa dhati na wenye matokeo chanya wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk. John Pombe Joseph Magufuli na Uimara wa CCM kwa sasa katika kuwatumikia Watanzania ndio umemkuna zaidi na hatimaye kuchukua uamuzi alioufanya.
Ndugu Matiko amepokelewa na Ndugu Humphrey Polepole na kumhakikishia kuwa amefanya chaguo sahihi kwa wakati sahihi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...
No comments:
Post a Comment