Search This Blog

Tuesday, June 2, 2020

Shirika la ndege la Uturuki kuanza safari za ndege za ndani kesho


Bilal Ekşi, Meneja Mkuu wa Turkish Airlines ametangaza kuwa ndege zitaanza safari kuanzia 4 Juni.

Bwana Ekşi ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa,

"Kuanzia Juni 4, safariza ndani zitaanza katika miji 34 nchini.Safari 15 kutoka Ankara, na 14 kutoka Sabiha Gökçen (huko Istanbul)."

Taarifa hiyo vilevile imesema kuwa safari za moja kwa moja kutokea miji 16 barani Ulaya kuelekea katika miji 14 ya Uturuki zitaanza rasmi 18 Juni.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...