Search This Blog
Tuesday, June 16, 2020
Nikki Wa Pili aichambua miaka mitano ya Magufuli
Nikki Wa Pili ni msanii wa HipHop kutoka Weusi, pia jina lake linatajwa sana kuwa miongoni mwa wasanii wanaojihusisha na masuala ya kisiasa, kutokana na ushawishi wake kwenye jamii, vijana na maendeleo kwa ujumla.
Msanii huyo ametaja vitu alivyoviona kwenye uongozi wa miaka mitano wa Rais Magufuli, ambapo hii leo amelivunja rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Kuna vitu ambavyo amevifanya na havikuwepo kabla ya hapo, kwa mara ya kwanza kumekuwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, tulikuwa hatunaga hiyo wizara, pili kumetokea msukumo wakutengeneza umoja wa Taasisi kutoka COSOTA na BASATA, mwanzo COSOTA ilikuwa ipo Wizara ya Biashara na BASATA ilikuwa Wizara ya Habari, tatu kumekuwa na mchakato wa kutengeneza sera mpya ya sanaa na burudani ambayo itatizama kama biashara" ameeleza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment