Search This Blog
Wednesday, June 3, 2020
Mbatroni Kwa Tuhuma za Kumuua Baba yake Mzazi kwa Kipigo
Jeshi la Polisi linamshikilia Yohana Lameck (17) kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi Isaya Lameck (47) kwa kumpiga ngumi na kumkanyaga sehemu mbalimbali za mwili
Kamanda wa Polisi Mkoani humo, Wilbroad Mutafungwa, amesema tukio hilo limetokea Mei 31, 2020 asubuhi ambapo kulikuwa na ugomvi baina ya mtoto na baba
Mtuhumiwa anashikiliwa na Polisi kwa ajili ya uchunguzi na upelelezi ukikamilika atafikishwa Mahakamani kwa makosa aliyoyafanya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment