Search This Blog
Wednesday, June 3, 2020
Makonda : Bodaboda Rukrsa Mjini Hakuna Kukamatwa
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amewataka waendesha pikipiki (boda boda) kuendelea kusafirisha abiria katika ya mji kama ilivyo kawaida.
Alizungumza leo jijini Dar es salaam Makonda amesema hakuna polisi yoyote kumkamata mwendesha pikipiki akiiingia katikati ya mji.
“Bodaboda na bajaji sasa hivi mnaruhusiwa kuingia katikati ya mji kufanya shughuli zenu hakuna kukamatwa, kuna mpuuzi mmoja anapita pita kuwakamata wenye boda boda huko mjini kuna mkuu wa mkoa mmoja ndo mimi na nipo endeleeni kufanya shughuli zenu” amesema Makonda.
Ikumbukwe kuwa waendesha pikipiki (bodaboda)walizuiliwa kuingia mjini kutokana na kupunguza msongamano katikati ya mji.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment