Search This Blog

Monday, June 8, 2020

Kigwangalla Awacharua Wanaomsema Hajui Kingereza Asema sio Sifa Kuijua



Waziri wa Maliasilia na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema kuna watu huwa wanajaribu kumkosoa lugha yake ya kingereza.

“Huwa nina washangaa sana maana kwanza siyo sifa kujua lugha hiyo mimi naitumia kama njia ya kuwasiliana tu,” aliandika Kigwangalla katika ukurasa wake wa Twitter.

Aliongezea kuwa “Ningekuwa sijui kiswahili ana kikimbu na mtu akanicheka angekuwa na mantiki,”

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...