Search This Blog

Monday, June 8, 2020

Alikiba akata kiu ya mashabiki wake, Ngoma aliyowaahidi hatimaye ameiachia ‘Sohot’ – Audio


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya @kingsmusicrecords @officialalikiba ameiachia ule wimbo aliowaahidi mashabiki zake kwa muda.

Kupitia ukurasa wake w Instagrma ameandika hivi.

“Are u ready to dance?? Here’s your Summer Anthem! #SoHot 🔥now Available in all Digital platforms.
Produced by @kimambo_beats
Guitar by @kenny_guitar
Co-written with @tommyflavour
Mastered by @kimambo_beats
#SoHot


No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...