Search This Blog

Sunday, May 3, 2020

Wengine wabainika kupona corona Kenya



Wizara ya Afya Kenya imesema licha ya maambukizi ya jumla ya corona kuongezeka na kufikia 435 lakini wagonjwa wengine wawili wamepona na kufanya idadi ya waliopona corona kufikia 152,lakini kuna nongezeko la kifo kimoja na sasa vifo vya corona Kenya ni 22

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...