Search This Blog

Sunday, May 3, 2020

Ongezeko la maambukizi ya corona Kenya yafikia 435



Wizara ya afya ya Kenya imesema wagonjwa wengine wa corona 24 wameongezeka na kufanya idadi ya jumla ya maambukizi kufikia 435 kutoka 411 ''tumewapima watu 1,195 ndani ya saa 24 na kati yao 24 wamekutwa na corona ,hii ni idadi kubwa kuwahi kutokea kwa siku tangu corona iingie kenya''

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...