Search This Blog
Sunday, May 3, 2020
Idadi ya maambukizi ya corona yaongezeka Uganda
Wizara ya afya ya Uganda imesema kuna ongezeko la wagonjwa watatu wa corona na kufanya idadi ya maambukizi ya jumla ya corona Uganda kufikia 88, wagonjwa wapya ni dereva wa lori Mkenya na wa Burundi na watatu ni Mganda aliyeingia Nchini humo akitokea Bukoba Tanzania, waliopona corona ni watu 52 na hakuna kifo cha corona Uganda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment