Search This Blog
Monday, May 25, 2020
Wafungwa 7 wafariki katika ghasia zilizozuka katika gereza nchini Mexico
Wafungwa 7 wafariki na wengine 9 wajeruhiwa katika ghasia zilizotokea katika gereza moja nchini Mexico.
Ghasia zilizotokea katika gereza moja nchini Mexico zimepelekea wafungwa 7 kufariki na wengine 9 wamejeruhiwa vikali.
GHasia hizo zimetokea katika gereza lenye ulinzi mkali katika jimbo la Puente Grande.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari nchini Mexico, wafungwa walishambulia kwa silaha za moto na visu na kusababisha vifo hivyo na majeruhi.
Hali imerejea kuwa shwari baada ya maafisa magaereza kuingilia kati.
Uchunguzi umeanzishwa kubaini sababu na ghasia hizo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment