Search This Blog
Monday, May 25, 2020
Turkish Airlines yaongeza muda uliokuwa umepangwa kuanza safari
Shirika la ndege la Uturuki la THY limefahamisha kuongeza muda uliokuwa umepangwa kwa kuanza safari zake.
Shirik ala ndege la Uturuki la Turkish Airlines limesema kuwa limeongeza muda uliokuwa umepangwa na uongozi wa shirika hilo kwa ajili ya kuanza kazi zake.
Safari zake za kimataifa zimepangwa kaunza upaya ifikapo Juni 4 mwaka 2020.
Mudda uliokuwa umepangwa kwa ajili ya kuanza safari, shirika hilo limesema kwamba safari rasmi zitaanza Juni 10 kinyume na ilivyokuwa imetangazwa kuwa ziataanza Jun 4.
Shirika hilo la ndege la Uturuki lilitangza kusitissha safari zake za kimataifa kutokana na maambukizi ya virusi vya corona , safari zote za ndege zilikuwa zimesitishwa ispokuwa safari za ndege za mizigo.
Taarifa hiyo imeendelea kusema kuwa hata safari za ndege zilikuwa zimefungwa na sasa ikifahamishwa rasmi kwamba zitafunguliwa mwanzoni mwezi Juni.
Uamuzi uliochukuliwa na Uturuki ni sawa na maamuzi yaliochukuliwa na mataifa mengine Ulimwenguni.
Hakuna begi la aina yeyote ambalo litakuwa kiliingia na abiria, mikoba yote itakuwa ikiwekwa katika mizigo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment