Search This Blog
Thursday, May 21, 2020
Wabunge wapewa notis kuhama nyumba za serikali
Wakati Bunge la 11 likitarajiwa kumalizika Juni 19, mwaka huu, imeelezwa kuwa wabunge waliopanga katika nyumba za serikali mjini Dodoma, wameanza kupewa barua za kutakiwa kuondoka.
Mbunge wa Rufiji Mohammed Mcherengwa ,aliyasema hayo jana Bungeni wakati akiomba muongozo wa spika kuhusu suala hilo, huku akimuomba spika Job Ndugai , kuzungumza na Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano, Isaack Kamwelwe , kuliangalia upya suala hilo na kuwa na subira hadi uchunguzi utakapomalizika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment