Search This Blog

Sunday, May 3, 2020

Mwanza yatarajia kujenga kiwanda cha vipodozi vitokanavyo na maparachichi



Wakati ndoto ya Taifa ikiwa imejikita katika kutekeleza sera ya uchumi wa viwanda ifikapo mwaka 2025, Wilaya ya Magu mkoani Mwanza inatarajia kujenga kiwanda cha kutengeneza vipodozi vitokanavyo na zao la Parachichi, ili kuunga mkono sera hiyo ya awamu ya tano.

Kampuni ya uwekezaji ya Nkonya Farms Ltd itakayojenga kiwanda hicho, imekwishapanda zaidi ya miche 2,000 ya parachichi huku ikitangaza soko kwa wakulima wa zao hilo wilayani Magu, kuchangamkia fursa ya kilimo hicho.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...