Search This Blog
Sunday, May 3, 2020
Mchungaji wa Kanisa la Ghala la Chakula cha Uzima Peter Mitimingi afariki dunia
Mchungaji Peter Mitimingi wa Kanisa la Ghala la Chakula cha Uzima (Warehouse Christian Centre-WCC) ambaye pia ni Mkurugenzi wa Voice of Hope Ministry (VHM) inayojihusisha na huduma ya injili vijijini amefariki Dunia akiwa Muhimbili kwenye matibabu, Mchungaji Msaidizi wa kanisa hilo amethibitisha na kuelekezea chanzo cha kifo chake.
“Yeye alikuwa anaumwa Sukari ilipanda, ikaanza homa ya mapafu kwasababu alikuwa Arusha akapigwa na mvua kukawa na baridi kali hiyo hali ikamsumbua na kupelekea kufariki "-Mchungaji Samweli, Msaidizi wa Kanisa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment