Search This Blog
Sunday, May 3, 2020
Jeshi la Urusi lazuia msafara wa jeshi la Marekani Syria
Wanajeshi wa Urusi kwa muda mrefu walizuialiwa na jeshi la Marekani tangu Januari kusogelea eneo lenye mafuta Syria.
Wanajeshi wa Urusi wazuia msafara wa jeshi la Marekani nchini Syria kusogelea katika eneoa ambalo kunpatikana mafuta Rumeylan nchini Syria.
Wanajeshi wa Marekani walikuwa wakijielekeza katika eneo hilo lenye mafuta, jeshi la Urusi limefanya hivyo kama kulipiza kisasi.
Wanajeshi hao wa Marekani wamekuwa wakitaka kujiekeza katika eneo la Kati la Qamişli, eneo ambalo limekaliwa na magaidi wa kundi la PKK na tawi lake wa YPG nchini Syria.
Kulingana na taarifa zilizotolewa na mashuhuda wa tukio hilo, jeshi la Urusi lilikuwa limeilinda rodia katika eneo la Rumeylan lilikiwa na magari 9 ya jeshi.
Jeshi la Marekani likiwa na magari 10 limezuiliwa na jeshi hilo la Urusi kuingia katika eneo hilo kupitia eneo la Hazana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment