Search This Blog

Tuesday, May 12, 2020

Mwanza Airport yapewa hadhi ya Kimataifa


Uwanja wa ndege Mwanza umepewa hadhi ya kimataifa rasmi kwa kusafirisha minofu ya samaki kwenda moja kwa moja nchi za Ulaya

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Issack Kamwelwe anaelezea.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...