Search This Blog

Tuesday, May 12, 2020

KENYA: Wagonjwa wapya 15 wa corona waongezeka na kufanya idadi ya maambukizi 715



Wizara ya Afya Kenya imesema wagonjwa wapya 15 wa corona wameongezeka na kufanya idadi ya maambukizi kupindukia 700 na kufikia 715. “wagonjwa wapya 14 ni Wakenya na mmoja wa Rwanda, Wanaume 10, Wanawake 5, mgonjwa mwenye umri mdogo ana mwaka mmoja na miezi 8 na mkubwa miaka 62”

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...