Search This Blog

Monday, May 18, 2020

Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan Kusini abainika na corona



Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudani Kusini na Kiongozi wa zamani wa Waasi,Riek Machar amebainika kuwa na corona, Mke wa Machar Angelina Teny ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi nchini humo, baadhi ya Walinzi wa Machar na wafanyakazi wa ofisi yake nao pia wana corona

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...