Search This Blog

Monday, May 18, 2020

Magaidi wawili wa al Shaabab waangamizwa nchini Somalia


Wanamgambo wawili wa kundi la al Shaabab nchini Somalia waangamizwa katika operesheni .

Operesheni ya anga  ya jeshi la Somalia dhidi ya wanamgambo wa kundi la Al Shabaab  limeplekea wangambo wawili  kufariki.

Kulingana na taarifa zilizotolewa kuhusu tukkio hilo,  shambulizi la anga la jeshi la Somalia kwa ushirikiano na kikosi cha jeshi la Marekani , shambulizi hilo limelenga eneo la Kunyo Borrow  majira ya usiko.

Kikosi hicho cha jeshi la Marekani  kinatoa usaidizi kwa jeshi la Somalia kukabiliana na magaidi.
Magaidi wawili wameuawa .

Operesheni hiyo imeendeshwa baada ya magaidi kumshambulia na kumuuawa gavana Ahmed Musa Nur .

Wanamgambo wa al Shabaab walishambulia  gari lililokuwa likimsafirisha gavana huyo na kuwaua  watu wengine watatu.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...