Search This Blog
Monday, May 18, 2020
Miskiti kuanza kufunguliwa Uturuki
Rais wa Uturuki asema kuwa agizo la kutotoka nje kutokana na virusi vya corona ltaendelea kuheshimishwa hata katika siku kuu ya Eid el Fitr.
Rais Recep Tayyıp Erdoğan afahamisha ya kwamba amaagizo ya kutotoka nje kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona nchini Uturuki katika mikoa yake yote yataendelea kuheshimishwa hata katika kipindi cha siku kuu ya Eid el Fitr.
Rais Erdoğan amesema kuwa kaunza Mei 23 siku ya mwisho ya Ramadhani, Mei 24 hadi Mei 26 ni marufuku kutoka nje katika miji yote ya Uturuki kutokana na virusi hatari vya corona.
Hayo rais wa Uturuki ameyazungumza baada ya kumalizika kwa ukutano wa baraza la mawaziri uliofanyika kwa njia ya video.
Mkutano huo umefanayika ni mkutano wa 8.
Rais Erdoğan amesema kuwa mapambano dhidi ya virusi vya corona yanaendelea huku matumaini ya kudhibiti virusi hivyo yakeindelea kuonekana.
Idadi ya waambukizi na vifo inazidi ia kupungua kila kukicha.
Uwezekano na kufuta vifo kutoka na covid-19 upo kwa kuwa idadi ya watu wanaoambukiwa pia inazidi kupungua.
Ameendelea kufahamisha kuwa iwapo hatua hazitoheshimishwa , mamlaka husika hazitosika kutoa adhabu kali.
Rais Erdoğan amesema kuwa kutokomezwa kwa janga la virusi vya corona kutatokana na ushirikiano wa kimataifa.
Hali ya maisha ya kawaida inaweza kuanza kurejea mwezi ujao.
Miskiti kwa ajili ya ibada itaanza kufunguliwa Mei 29 na agizo la kuheshimu masharti.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment