Search This Blog

Thursday, May 21, 2020

KIGOMA: Mafuriko yaharibu nyumba 300



Baadhi ya wakazi wa Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma hawana makazi kutokana na nyumba 311 kubomoka na zingine kujaa maji kufuatia mafuriko yaliyotokea wilayani humo mwishoni mwa Aprili, hivyo kusababisha kaya hizo kuhifadhiwa na majirani hadi sasa.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...