Search This Blog

Thursday, May 21, 2020

Dkt. Faustine Ndugulile akabidhi ofisi rasmi kwa Dkt. Mollel



Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Dr. Faustine Ndugulile, tayari amekabidhi rasmi ofisi kwa Naibu Waziri mpya wa Afya Dkt. Mollel. “nampongeza Dkt Mollel kwa kuteuliwa na namshukuru sana Waziri Ummy kwa ushirikiano alionipa, namshukuru JPM kwa imani yake kwangu”

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...