Search This Blog
Thursday, May 7, 2020
Covid-19 : Raia 209 wa Uturuki wasafirishwa kutoka Maldivi
Waturuki 209 wasafirishwa kutoka katika visiwa vya Maldivi kutokana na virusi vya corona na kurejeshwa Uturuki.
Waturuki 209 wasafirishwa kutoka katika visiwa vya Malidvi katika bahari ya Hindi kutokana na virusi vya corona na kurejeshwa Uturuki .
Watu ha wametengwa kwa ajili ya uchunguzi wa kiafya , uchunguzi huo wa kiafa utachukuwa muda wa wiki mbili kama ilivyo ada kwa watu wanaoshukiwa kuwa na maambukizi wanapotoja nje ya Uturuki.
Zoezi la kuwarejesha waturuki w alipo ugenini nchini Uturuki linaendelea kama ilivyoagizwa na rais Erdoğan .
Zoezi hilo linaendelea kwa usimamizi wa makamu wa rais Fuat Oktay na wizara ya mambo ya nje.
Ndege ya shirika la Turkish Airlines imewasafirisha waturuki 209 aambao wamewasili Uturuki usiku wa Jumanne kuamkia Jumatano na kupokelewa na kikosi cha wauguzi katika uwanja wa ndege wa kimataifa mjini Ankara .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment