Search This Blog
Wednesday, April 15, 2020
NIDA waja kivingine, vitambulisho 9000 kwa siku
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), imesema kuwa kwa sasa imepata mashine mpya na za kisasa zenye uwezo wa kutoa vitambulisho 9000 kwa siku.
.
Hayo yamebainishwa leo Aprili 15, 2020 na Msemaji wa NIDA, Geofrey Tengeneza, ambapo amesema kuwa zoezi la utoaji wa vitambulisho limeathiriwa na janga la Virusi vya Corona, ambapo kwa sasa wananchi wengi hawajitokezi ofisini hapo kwa kuogopa kupata maambukizi.
Aidha NIDA imetoa wito kwa wananchi ambao hawajapata vitambulisho, wajitokeze ili waweze kupatiwa kwa kuwa ni muhimu na si tu kwa ajili ya kusajili laini za simu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment