Kutokana na janga la virusi vya corona mpaka kati ya Marekani na Canada utaendelea kufungwa.
Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau ametangaza kuwa hatua hizo zilizofikiwa kwa pamoja kati ya Marekani kwamba zimerefushwa kwa muda wa mwezi mmoja. Mpaka huo ulikuwa umefungwa kwa zaidi ya wiki tatu.
Hata hivyo mpaka huo utaendelea kuwa wazi kwa ajili ya kupitisha bidhaa. Kabla ya kuzuka kwa janga la virusi vya corona zaidi ya watu 400,000 huvuka mpaka huo karibu kila siku.
Mpaka huo wenye urefu wa kilometa 8,900 ni mrefu zaidi duniani.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment