Search This Blog
Tuesday, March 3, 2020
Watu tisa wapoteza maisha kutokana na kimbunga nchini Marekani
Watu 9 wamepoteza maisha nchini Marekani kufuatia kimbunga kilichotokea katika jimbo la Tennessee nchini Marekani.
Kwa mujibu wa habari zilizorushwa na vyombo vya Marekani, kimbunga kilichopiga usiku kucha katika mji wa Nashville, jimbo la Tennessee kimesababisha kwa uchache watu 9 kufariki, huku wengi zaidi wakijeruhiwa.
Pia imefahamishwa kwamba kimbunga hicho kikali kimeharibu majengo, barabara, madaraja na maeneo ya kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment