Search This Blog
Tuesday, March 24, 2020
Watu 44 wamefariki kwa virusi vya corona Uturuki
Waziri wa afya wa Uturuki atangaza idadi ya watu waliofariki kwa virusi vya korona kuongezeka.
Fahrettin Koca, waziri wa afya wa Uturuki ametangaza kuwa watu 44 kwa ujumla ndio idadi ya watuambao wamekwishafariki kutokana na virusi vya corona tangu kaunza kwake nchini Uturuki.
Koca amesema kuwa licha ya maafa hayo kuendelea kutokea, wizara ya afya kwa ushirikiano na watafiti haijashinda juhudi zake za kupambana na virusi hivyo ambavyo vinaendelea kusababisha maafa.
Watu 7 wamefariki katika kipindi cha masaa 24 na kulekea idadi hiyo kuongezeka.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa afya katika ukurasa wake wa Twitter Jumanne.
Vipimo walivyofanyiwa watu 3952 kwa muda wa masaa 24, miongoni mwao 343 wamekutwa na virusi vya corona.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment