Search This Blog
Tuesday, March 24, 2020
Kocha wa kihistoria Uturuki aambukizwa virusi vya corona
Mkufunzi wa kihistoria wa kabumbu nchini Uturuki ametangaza kuwa amepimwa na kupatikana akiwa ameambukiwa virusi vya corona.
Fatih Terim, mkufunzi wa kihistoria wa kabumbu nchini Uturuki ametanza Jumapili kuwa amefanyiwa vipimo na kupatikana akiwa na virusi vya corona.
Terim amefahamisha kuwa majibu ya vipimo alivyofanyiwa yameonesha kuwa ameathirika na virusi vya Covid-19.
Terim katika ujumbe aliotoa kupitia ukurasa wake Twitter ametuliza nyoyo za mashabiki wake akiwahakikishia kuwa yupo katika mikono salama wasiwe na hofu.
Ni pigwa kubwa na wachezaji wa timu ya Galatasaray.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment