Search This Blog

Thursday, March 19, 2020

Vilabu viwili vya Hispania vyakataa vifaa vya kupima Corona

Club za Celta Vigo na Real Valladolid za Hispania zimevikataa vifaa maalum vya kupimia corona na kutaka vitolewe kwa jamii kwani kuna watu wengi Hispania wenye uhitaji navyo zaidi yao, LaLiga ilitoa vifaa 500 kwa timu zote ili kuhakikisha wachezaji wako salama.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...