Search This Blog

Tuesday, March 17, 2020

Saudi Arabia imetangaza kuifunga Misikiti yake yote


Saudi Arabia imetangaza kuifunga Misikiti yake yote na kuwataka Waumini kuswali swala tano za kila siku na Swala ya Ijumaa wakiwa kwenye nyumba zao lengo likiwa ni kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona, Ibada itaendelea kwenye Misikiti miwili mitakatifu pekee ya Makka na Madina lakini milango ya Misikiti mingine yote inafungwa.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...