Nigeria ambayo mpaka sasa ina Wagonjwa 8 wa corona, imetangaza kusitisha kwa muda kupokea Wageni toka Nchi 13 zenye maambukizi makubwa ya virusi hivyo.
Nchi hizo ni China, Italy, Iran, South Korea, Spain, Japan, France, Germany, Marekani, Norway, UK, Netherlands na Switzerland.
Nigeria pia imeondoa utaratibu wa kutoa VISA kwa Raia wa Nchi hizi utaratibu ambao hufanyika wanapowasili tu Nigeria na sasa inaungana na Nchi mbalimbali Afrika zilizofunga milango kwa muda.
Nchi nyingine ni pamoja na Tunisia ambayo ilitangaza kusimamisha safari zote za Ndege za kimataifa pamoja na kufunga mipaka ya Nchi, kwenye orodha wapo pia Sudan, Egypt na Djibouti.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment