Search This Blog
Tuesday, March 10, 2020
Messi ajitosa sakata la Ronaldinho
Mchezaji nyota wa klabu ya soka ya Barcelona ya Hispania Lionel Messi ameanza mchakato wa kumtoa Rumande mchezaji nyota wa zamani wa Brazil na Barcelona Ronaldinho Gaucho.
Messi anatarajia kuwalipa mawakili Euro Milioni 4 ili kufanikisha kumtoa rumande nyota huyo wa kibrazil ambaye anashikiliwa nchini Paraguay kwa kosa la kughushi Hati ya kusafiria
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment