Wakati kampeni ya kuchangisha pesa za kuwalipia faini Viongozi wa CHADEMA ikiendelea, upande wa CCM Humphrey Polepole ameandika yafuatayo kuhusu faini ya Vicent Mashinji ambae ni Mwanachama mpya wa CCM akihamia kutoka CHADEMA.
“Asante CCM Mkoa wa DSM, Mwenyekiti na Kamati ya Siasa kwa kujitoa kwenu kwa haraka ili kesho tukamnusuru Mwanachama wa CCM Vicent Mashinji. Mtakumbuka kuongoka kwa Mashinji kumetupa picha nzuri ya wasiotutakia mema na mipango yao mingi yenye nia ovu
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment