Search This Blog
Tuesday, March 10, 2020
Baraza jipya la mawaziri nchini Malesia laapishwa
Waziri mkuu wa Malesia, Muhyiddin Yasin atangaza baraza lake jipya la mawaziri, kisha mawaziri hao walikula kiapo na kuanza majukumu yao.
Mawaziri 31 na manaibu waziri 38 walikula kiapo katika kasri la kifalme mjini Kuala Lumpur wakishuhudiwa na mfalme wa Malesia Sultan Abdullah Shah.
Waziri mkuu Muhyiddin naye alihudhuria dhifa hiyo ya kula kiapo kwa mawaziri.
Mawaziri wa Malesia ni sharti wawe wabunge na wajumbe wa baraza la mawaziri.
Jana Muhydin akiwa katika ofisi ya waziri mkuu alitangaza baraza lake la mawaziri na kwa mara ya kwanza tofauti na ilivyoada hakutakuwa na nafasi ya waziri mkuu msaidizi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment