Search This Blog

Monday, February 3, 2020

Ndege ya Uturuki Yaburuza Mkia Wakati wa Kupaaa.....



Ndege ya shirika la #Uturuki #TurkishAirlines #Boeing737-8 yenye usajiri namba TC-JZH yaburuza mkia chini wakati wa kupaa katika uwanja wa ndege #Istabul.
Rubani wa ndege hiyo alimua kuchukua maamuzi magumu ya kugeuza ndege hiyo dakika 120 baadae na kutua salama.

Hakuna majeruhi katika tukio hilo

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...