Search This Blog
Monday, February 3, 2020
Mbunge wa CCM "Bei ya Bangi Duniani Imepanda, Waziri Tuambie Wanaotaka Kulima Wamuone Nani?
"Bei ya bangi Duniani imepanda maradufu na Nchi zote zinazotuzunguka zimesharuhusu tunaomba Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga (pichani) aje atupe ufafanuzi Watu wanaotaka kulima wamuone nani kwa sababu sheria ipo, waliopiga marufuku bangi ni Wazungu miaka ya 40 lakini Wazungu walewale wamegundua ndani ya bangi kuna dawa"- Mbunge Jumanne Kishimba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...

No comments:
Post a Comment