Search This Blog

Saturday, January 4, 2020

Real Madrid yatoa dozi La Liga

Raphael Varane akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid mabao mawili dakika za 34 na 53 kabla ya Luka Modric kufunga la tatu dakika ya 90 na ushei katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji Getafe kwenye mchezo wa La Liga uliopigwa kwenye Uwanja wa Coliseum Alfonso Perez, hivyo kurejea kileleni.

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...