Search This Blog

Saturday, January 4, 2020

VIDEO: Mashabiki Simba wamtolea povu Manula ''hatumtaki, atuachie timu yetu''


Mashabiki wa klabu ya Simba wamemshukia golikipa wao namba moja, Aishi Manula baada ya kuruhusu goli mbili kutoka kwa mahasimu wao Yanga SC kwenye mchezo wa lihi kuu Tanzania bara uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.......USISAHU KUSUBSCRIBE



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...