Mshambuliaji Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 42 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Port Vale kwenye mchezo wa Raund ya Tatu Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad.
Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Oleksandr Zinchenko dakika ya 20, Taylor Harwood-Bellis dakika ya 58 na Phil Foden dakika ya 76, wakati bao pekee la Port Vale limefungwa na Tom Pope dakika ya 35
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment