Search This Blog

Thursday, January 9, 2020

Mabasi yapigwa marufuku kubeba vifurushi

Naibu waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Atashasta Nditiye ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufanya ukaguzi wa kushtukiza kwenye Mabasi ya abiria ili kuyabaini yale yanayoendelea kusafirisha barua na vifurushi bila kuwa na leseni.

"Mwaka jana nilipiga marufuku lakini bado kuna baadhi ya Mabasi yanaendelea kusafirisha barua na vifurushi bila leseni, huku ni kukiuka Sheria kakagueni anayekamatwa achukuliwe hatua kali"- NDITIYE

No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...