Watu wawili wamekamatwa na jeshi la polisi kwa kosa la kumshambulia na mapanga mwalimu wa shule ya msingi hadi kumsababishia kifo.
Washukiwa wawili ambao ni wazazi wawili wanazuiliwa huku uchunguzi ukifanywa dhidi yao
Wambua Mwangangi na Chris Kyalo Muli wanasemekana kumuua mwalimu huyo baada ya shule yake kutoa matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa wa KCPE mwaka wa 2019.
Daisy Mbathe aliripotiwa kushambuliwa kwa panga kabla ya mwili wake kuteketezwa na washukiwa hao.
Mbathe ambaye aliuawa Januari 6, 2020 alikuwa mwalimu katika shule ya msingi ya Ndooni.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment