Baada ya Stamina kuachia video ya wimbo wake mpya unaohusisha story ya maisha yake ya ndoa, mtu wake wa karibu na msanii mwenzake Roma Mkatoliki ambaye pia alikuwa msimamizi wa harusi yake amefunguka kupitia kipindi cha XXL ya Clouds FM na kuelezea ilivyokuwa mpaka ndoa hiyo ikavunjika.
Roma amesema inakaribia mwaka sasa toka mke wa Stamina alivyoondoka nyumbani kwa mumewe huku yeye na mke wake wakiwa wameshashiriki mara kadhaa kuwapatanisha Stamina na mkewe lakini ikashindikana.
''Huo wimbo kila kitu ni story ya kweli ila mimi kama msimamizi wake na mlezi wake wa ndoa nimejaribu kuweka sawa kwa kuweka vikao vingi kusuluhisha ila ilifika mahali nimeshindwa ila mkewe aliondoka toka march mwaka jana kutokana na migogoro ya ndoa kama ilivyokua kwa ndoa nyingine'' alisema Roma.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment