Search This Blog

Thursday, January 2, 2020

BRELA yaongeza muda wa uhusishaji wa taarifa za kampuni na majina ya biashara

Wakala wa usajili wa biashara na leseni (BRELA) imeongeza muda wa miezi mitatu kwa ajili ya zoezi la uhusishaji wa taarifa za makampuni na majina ya biashara yaliyosajiliwa nje ya mfumo wausajili kwa njia ya mtandao.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...