Mwanadada ambaye ni msanii wa filamu na kipenzi cha watu wengi Wema Issack Sepetu ameamua kuingia kwenye mapishi na kutaka kuanzisha darasa la mapishi kupitia App yake ya @wemaapp.
Wema ameyazungumza hayo wakati akifanyiwa mahojiano na Showbiz, alisema yeye anapenda kupika na anajua na hujikuta watu wengi wamekuwa wakisifia chakula anachopika, ameona ni bora sasa akatumia nafasi hiyo kuingiza kipato.
“Hivyo nimeona bora niitumie hii nafasi kuanzisha darasa la mapishi ambalo litakuwa likiruka kwenye app yangu ya @wemaapp kila wiki, kwa hiyo wale mashabiki wangu wa dhati wakae mkao wa kula,” alisema Wema.
Search This Blog
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment