Search This Blog

Saturday, December 28, 2019

TEMESA yakanusha magugu maji kuzuia usafiri Mwanza


Wakala wa Ufundi na Umeme imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kupitia video pamoja na picha zikielezea kusimama kwa huduma za vivuko katika Kivuko cha Kigongo Busisi, Mkoani Mwanza kutokana na kuwepo kwa Magugu Maji.



No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...