Search This Blog

Saturday, December 28, 2019

Msanii kutoka kundi la Weusi, G Nako afunga ndoa Dar


Msanii G Nako kutoka kundi la Weusi amefunga pingu za maisha na mpenzi wake na mama watoto wake aitwaye Js Yasinta.

Amefunga ndoa hiyo hapo jana katika kanisani maeneo ya Osterbay jijini Dar es Salaam ikiwa zimepita siku 10 tangu kumvalisha pete ya uchumba.

Miongoni mwa wasanii waliohudhuria ni pamoja na Nikki wa Pili, Joh Makini na Jux.




No comments:

Post a Comment

Punguza kilo tano kwa siku saba

  NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa  unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...