Search This Blog
Thursday, December 26, 2019
Polisi wa Uganda wawatia nguvuni wanne wanaodaiwa kumuua raia wa China
Polisi wa Uganda wamewakamata watuhumiwa wanne kuhusu ya mauaji ya raia wa China katika mji mkuu, Kampala, wiki iliyopita.
Msemaji wa polisi wa Metropolitan, Patrick Onyango alisema katika taarifa kwamba polisi waliwatia baroni watuhumiwa hao wanne.
"Tulipata pia ushahidi kama simu za marehemu kutoka kwao," alisema.
Alisema watuhumiwa walikiri kumuua marehemu kwenye nyumba yake eneo la Mbuya II, Nakawa, kitongoji cha Kampala mnamo Disemba 20 mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Punguza kilo tano kwa siku saba
NI watu wachache wanaopenda kunenepa, wengi wanapenda miili ya wastani kwa kuwa unene si mzuri. Ukiwa mnene si tu kwamba unakaribisha m...
-
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma Mahungu njia ya kwenda Singida kabala hujafika NALA. Kiwanja ni cha Makazi kinaukubwa wa Sqm 450 ( 15 X...
-
Akionekana kwa mara ya kwanza kwa umma tangu aondoke madarakani, aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump ameweka wazi uwezekano wa kuwania...

No comments:
Post a Comment